Instagram story viewer> @latra_tz> Tagged
119.4K
followers
29
following
Ukurasa Rasmi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini - Official Account for Land Transport Regulatory Authority - ISO 9001 Certified
POSTS STORIES REELS TAGGED
Ila Huku tunako elekea Hawa Mawakala wa @latra_tz  ambao wamewapa kazi ya kukamata pikipiki mitaani ipo siku kuna siku tutakuja kuuwana wenyewe kwa wenyewe hawa watu wanako elekea tutakuja kuuwana mana wanapenda Sana Rushwa @latra_tz ongeeni vzuri na wakala wenu hawa munao wapa kazi waje kukamata pikipiki zawatu mitaani afu wanataka uwalipe elfu 5000 
#tanzania #trending #trendingreels #talktome_tz #talktome
108
back to up