Instagram story viewer> @mikedastan> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Je unajua kuwa hata benki inaweza kufikisika!

Na wote mliowekeza kwenye hisa za iyo benki mkawa hamna chochote kwenye account zenu!

Et kwenye crash ya 2008 Lehman brother bank ilifilisika na ilikuwa na mzunguko wa 47 trillion na bank highest Tz ina mzunguko wa 3 trillion, 

@amrisaly anatuelezea zaidi.

Episode ya nne ya BILA FILTA imetoka rasmi! 🔥,

Kwenye episode hii, tumejadili kwa undani mbinu za kufanikiwa kiuchumi, fursa zilizopo sasa, namna ya kutengeneza pesa, kuzi-invest na kuzimultiply kupitia biashara, stocks, bonds, real estate na njia nyingine mbalimbali za kujenga utajiri,

Haya ni mazungumzo ya wazi yenye mitazamo tofauti, uzoefu na insights zinazoweza kukupa perspective mpya kuhusu pesa na kujenga utajiri,

🎙️ @amrisaly 
  @mikedastan 
  @mwigwano 
  @miss_wanda_gordon 

Angalia full episode kupitia link kwenye bio ya @bilafilta,

BILA FILTA - Different perspectives, one conversation.
32
Kiwanja kina high chance ya kukuwezesha kufanikiwa kuliko hisa za DSE!! Unaamini hili? 
@amrisaly anafafanua zaidi.

Tuambie maoni yako kwenye comment section.

Episode ya nne ya BILA FILTA imetoka rasmi! 🔥,

Kwenye episode hii, tumejadili kwa undani mbinu za kufanikiwa kiuchumi, fursa zilizopo sasa, namna ya kutengeneza pesa, kuzi-invest na kuzimultiply kupitia biashara, stocks, bonds, real estate na njia nyingine mbalimbali za kujenga utajiri,

Haya ni mazungumzo ya wazi yenye mitazamo tofauti, uzoefu na insights zinazoweza kukupa perspective mpya kuhusu pesa na kujenga utajiri,

🎙️ @amrisaly 
  @mikedastan 
  @mwigwano 
  @miss_wanda_gordon 

Angalia full episode kupitia link kwenye bio ya @bilafilta,

BILA FILTA - Different perspectives, one conversation.
41
@amrisaly anatupa madini ya kwamba kijana unapaswa kujifunza kutoka kwa @fred_vunjabei kama public figure,kijana aliyechukua risk ya kufanya uwekezaji kwenye biashara na kuweza kupata mafanikio makubwa sana hapa nchini.

Kiu na njaa ya mafanikio ndio nishati kubwa zaidi ya kuchukua risk ya mafanikio kwenye sekta tofauti tofauti kwa kijana ingali bado unanguvu za kupambana na misukosuko ya dunia na sio uzeeni.

16
back to up