Instagram story viewer> @mikedastan> Posts
61.4K
followers
141
following
Trader | Investor
CFO @intelligencefx
CO-FOUNDER @letsimpactmillions
From nothing to something now building systems, companies, and people.
POSTS STORIES REELS TAGGED
Mahusiano Yako Yatakuharibia Maisha  Kama Hayana Manufaa ya Moja kwa Moja Kwako Najua hujawahi kufikiria hivi

ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya vijana wako kwenye mahusiano kwa sababu ni fashion

Hicho ndicho unachishwa na social media, movies, na kila kitu kinachowazunguka + kutafuta instant gratification

sababu umeingia kwenye mahusiano kutokana na fashion, unajikuta uko kwenye uhusiano ambao unakunyonya, haukujengi, na unakurudisha nyuma

Pia tatizo kubwa ni kwamba focus kubwa unaweka kwenye mahusiano sio kujijenga kiuchumi

Unasahau kwamba; ukiwa na pesa ni rahisi kupata mahusiano ila ukiwa na mahusiano kupata pesa?😅

Upo kwenye mahusiano ambayo hamna vision ya pamoja. Kila mmoja ana mwelekeo wake. Hata ule ushauri uliotarajia kuupata kutoka kwa mpenzi wako haupatikani, kwa sababu haelewi vision yako ya maisha

Mpenzi wako ni kama co-founder wa maisha yako either anawekeza kwenye ndoto zako, au anavunja kabisa ujasiri wako

Upo kwenye mahusiano ambayo huna heshima. Ni kama unaonewa huruma, kama hukustahili nafasi hiyo. Matibabu unayopata ni ya mood tu akijisikia vizuri mnafurahi, asipojisikia basi hakuna chochote

Upo kwenye mahusiano ambayo kila siku ni magomvi yasiyo na maana

Mnawekeza muda mwingi kusolve matatizo kuliko kufikiria na kufanyia kazi future yenu. Amani kwenu ni kitu cha nadra, na hamjawahi kuwa na stability yoyote ile

Unachotakiwa kuelewa ni kwamba, katika maisha haya, mwenza mbaya atafanya kila ushindi uonekane kama vita, na kila vita uonekane kama ushindi

Na ukweli wa mambo ni kwamba asilimia 60 ya mahusiano ya vijana wa miaka 18 hadi 35, katika kipindi cha miaka 10 ijayo, hayatadumu iwe waliingia kwenye ndoa au la. Na haya sio speculations, ni utafiti kamili

Don’t quote me wrongly sisemi usiingie kwenye mahusiano, ila nasema hakikisha yana impact ya moja kwa moja kwenye maisha yako

Usipoteze muda kuchat, kum-please mtu, au kusolve matatizo na mtu wakati unajua kabisa hii energy ungeiweka kwenye biashara au kujifunza skill fulani, ungekuwa mbali

Hata kama mambo yasingefanikiwa, experience unayopata ingekufikisha mbali

Kaa, Tafakari, Chukua hatua, Don’t just follow what everyone is doing by @mikedastan
148
a year ago
Download
nilipozaliwa ni mita 700 kutoka lilipo dampo la jiji na mita 200 tu kutoka sewage za kiwanda cha ngozi inshort niseme tu ni mazingira mabaya  you can imagine harufu na hali ya hewa maeneo hayo 

where i come from sio hata nyumba ya tofali za kuchoma hapana ni ya udongo iliyopigwa plasta tu

ukuaji wangu nimeona wazazi wangu wakifanya kila linalowezekana sio kuwa boda boda ,kubeba mifuko ya cement , kuuza mitumba barabarani ili mimi na madogo tusome 

Ilifika wakati maisha yakatuchagulia inabidi kati ya mimi na mdgo wangu mmoja aamue kwenda shule na mwingne abaki

kwasababu mmi ndio kaka na nilikuwa nimeshamaliza form six sikuwa na budi nilimwachia dogo aendelee kusoma 

mimi sijawahi badilisha hata begi la shule kutoka darasa la pili adi la saba achilia mbali kiatu 

every semister wenzangu wakinunuliwa nguo  i had the same sweater from darasa la tatu mpaka la saba i grew up mama angu akichuma kahawa na kulipwa 2000/siku nimeshuhudia baba yangu akiumwa kifua sugu kwa kufanya kazi ngumu na kulala nnje

i don't need motivation to push the limits maisha yangu binafsi ni motivational tosha, naweka bidii sana kwa ajili yangu, familia na kila anaenizunguka & be a testimony kuwa mambo yanawezekana bila kujali tulipotoka

2021 - 2023 experience na uwezo wangu kwenye trading uli-grow rapidly, income ikaongezeka, nika-improve life standard yangu ili kutengeneza mazingira mazuri ya kazi, 

2023 - 2024 nimefanikiwa kuanzisha  biashara kadhaa nje ya trading & small real estate investment

early this 2025 i gifted my self a new car and  when i look back i am really proud of me, many people out there hizi huwa n ndoto na wanaondoka duniani hawajazitimiza

mimi nimeweza hata wewe unaweza, kikubwa usiwe na excuses, wekeza kwenye maarifa, mentality yako pia hakikisha unazungukwa na watu sahihi na una team imara kwenye unayofanya by @mikedastan
279
2 years ago
Download
At the end of the day, haya maisha ni yako.
No one will be there when you lose. So stop living kama kila mtu anavyoishi.

Kuna vitu inabidi uache kufuata mkumbo.
Sio kwasababu kila mtu anafanya basi na wewe ufanye. In real sense, vitakucost sana kama hautoamua kuwa tofauti.

Asilimia kubwa ya vitu ninavyosema hapa vimekuwa “normal” kwa sababu vilianza almost miaka 20 nyuma. Lakini tunasahau kwamba maisha ya sasa yanamove 10× faster kuliko zamani.

Miaka ya nyuma kidogo, maswala ya utajiri na umiliki wa mali yalionekana kama ya watu wenye umri mkubwa zaidi. Leo hii ni tofauti kabisa. Ukiamua kufuata mkumbo na kuishi kwa methods za zamani, utaishia kuishi under pressure na stress nyingi sana.

So, acha kuweka targets zako kama mtu wa 1970s au 1980s. Instead, aim higher. Nowadays hakuna limits. It’s okay to set a goal ya 500M a year and actually work for it.
Isiwe kwasababu kila mtu ana-dream kuajiriwa basi na wewe pia ufuate mkumbo, Hapana.

Nikukumbushe tena: haya ni maisha yako.
At the end of the day, anayeteseka au kufurahi ni wewe,so usiishi kufuata ratiba za kila mtu.

Kwasababu tu kila mtu anaspend muda mwingi kwenye social media, na wewe unafanya hivyo, hata bila direct impact kwenye maisha yako!

Ngoja nikupe hesabu rahisi: kama unaspend masaa 12 kwa siku kwa phone, that’s 12 × 365 × 30 = 131,400 hours in 30 years. Almost 15 full years of your life just scrolling, Kama hautapata faida yoyote online, hiyo ni miaka 15 ya maisha yako imepotea bure.

Yes, it’s normal for weekends to be relaxing… but nikuulize tu, ”Do you really have that relaxing life?” Au unafuata mkumbo? Do you actually have that money to spend, or just because kila mtu anafanya basi na wewe pia unaamua kufanya?
If the answer is NO, then wake up and act different.

Kuna vitu vingi sana tunafanya na kuviishi kama normal, lakini vinatafuna maisha yetu kila dakika bila faida yoyote. If you choose to be different today, trust me, the results will be different in no time, na utakua surprised!

Wake up leo! Start thinking in 20-year horizons, not just today. Because the last laugh is always the sweetest. by @mikedastan
149
a year ago
Download
To Our Community 🏆

Tumejifunza pamoja katika bootcamp ya siku 45. Wengine tulikutana physically na wengine tukaelekezana online.

Event ya leo haikuwa kwa ajili ya kumaliza safari ya bootcamp 2026 bali ilikuwa kwa ajili ya kuanzisha safari ya KUSHINDA PAMOJA

Leo tumeagana tukiwa familia yenye target moja tu, Kuwa Bora Leo Kuliko Jana Kwenye Kila Trade Tutakayofanya 💪 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mikedastan
28
4 hours ago
Download
Kwenye Bootcamp ya mwaka huu (2026) tulitumia siku 45 kubadili beginners wa masuala ya trading kuwa pro

Kwenye event ya leo tumetumia masaa machache sana kubadili wanafunzi kuwa wana-community wa @intelligencefx na kwetu hii ni baraka kubwa

Hatukuishia kupongezana kwa uelewa tulioukuza ndanibya siku 45 za Bootcamp lakini pia tulifahamiana kuhusi nini tunafanya nje ya trading na kuboresha uhusiano wetu

Event ya leo 🔥🔥 | Tukutane Bootcamp Ijayo taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mikedastan
5
5 hours ago
Download
Tunapofanya event kama hizi za kuwakutanisha wana-community wa @intelligencefx kinachotupa faraja ni kuona watu ambao kwenye Day 1 walikuwa kwenye giza kubwa la masuala ya trading lakini baada ya siku 45 tu wapo kwenye level ambayo wengi waliona kama ni muujiza kuifikia

Faraja ya pili ni kukutana na wanafunzi wenzetu ambao tumeluwa tukijifunza kwa miezi miwili kwa njia ya online lakini leo tumegonga cheers pamoja na kubadilishana mawazo kuhusu tradingi lakini pia kuhusu maisha nje ya trading na njia bora za kuwa stable financially taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mikedastan
5
5 hours ago
Download
Kila trader anahitaji mtu atakayem-challange, atakayemuuliza kwanini uliingia hapa? Je analysis hii ipo sahihi? Hapa umekosea na wakati mwingine utakapofanya kila kitu kwa usahihi basi akupongeze bila hiyana yoyote

Ndio maana tunaanda events kama hizi kila tunapomaliza bootcamp zetu. Lengo ni kujenga urafiki ambao unaweza kuwa na manufaa makubwa kwenye kazi yetu hii ya trading

Tupo very proud na kila aliyefika kwenye event ya leo na kuungana na wana-community wenzetu taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mikedastan
7
5 hours ago
Download
Hii ndio tunaita ‘Beuty With Brains’ 😍

Warembo katika community yetu ya Intelligence FX waliamua kuweka focus kwenye bootcamp ya 2026 na baada ya siku 45 tu wapo hapa wakiwa na uelewa mkubwa kwenye masuala ya trading

Trading sio ya watu wa aina fulani, ni yeyote atakayeamua kufanya maamuzi sahihi na kujifunza kutoka kwa watu sahihi.

Hujachelewa, Ukiwa Tayari Kufanya Maamuzi Sahihi Tu-DM Ili Kuweka Nafasi Yako Kwa Ajili ya Bootcamp Ijayo taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mikedastan
12
6 hours ago
Download
Ilianza kama darasa la kujifunza trading na sasa ni community ya kupeana madini kuhusu maisha in general

Katika event ya leo hatujaishia kupongezana tu kwa kufanikiwa kufikia hatua ya kufanya analysis na ku-trade kwa faida bali pia tumepeana expirience ya maisha taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mikedastan
5
6 hours ago
Download
Tulielekezana, tukakosoana na sasa tunajadiliana na kufahamiana baada ya bootcamp ya siku 45

Event ya leo imetukutanisha physically na hakika kila mmoja wetu amejifunza mengi zaidi. 

We are so proud of our community 🏆 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mikedastan
6
6 hours ago
Download
Tumealikika 🔥! Wana-community wa bootcamp 2026 tumekuja kujumuika pamoja lakini hatujaja kinyonge, tumekuja kwa style  sababu sisi ni winners team 🏆 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mikedastan
15
7 hours ago
Download
Tunakutana, Tunajadiliana, Tunasherehekea Pamoja. Hii ni community ya bootcamp 2026 katika event iliyotukutanisha pamoja na kufahamiana zaidi

Wengine tulijifunza tukiwa online na wengine tulikuwa physically darasani lakini leo wote tumekutana pamoja taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mikedastan
21
8 hours ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up