Instagram story viewer> @sistersinimaantz> Tagged
45.7K
followers
852
following
Muslim Sisterhood committed to empowerment and faith-driven impacts to rise & thrive
šŸ“šTraining & Workshops
šŸ§•šŸ½Sheroes Recognition
ā–ŖļøCommunity Support
POSTS STORIES REELS TAGGED
Hatua nyingine, dhamana nyingine, na fursa nyingine ya kuitumikia Zanzibar kwa moyo wangu wote.

Leo nimekula kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mipango Zanzibar (Zanzibar Planning Commission)

Ninaipokea dhamana hii kwa heshima, unyenyekevu na dhamira thabiti ya kushiriki katika kupanga na kujenga mustakabali bora wa Zanzibar yetu.

Naahidi uaminifu, juhudi, uwajibikaji na kuendelea kuitetea na kuilinda Zanzibar pamoja na maslahi ya watu wake.

Mungu Africa 
Mungu ibariki Tanzania 
Mungu ibariki Zanzibar 

#ZanzibarToTheWorld
113
It’s happening Nowwww !!!! The African Youth Climate Change Negotiation Training 2026 brings young African leaders together to strengthen our negotiation skills and champion Africa’s climate priorities.

One Africa, One Voice for Climate Action! 

@ayc_negotiation_center  @africanunion_official @norwayintz  @undptz  @ofisi_ya_makamu_wa_rais 

#AfricanYouth #ClimateNegotiations #ClimateAction
43
Nimepata heshima ya kuwa miongoni mwa viongozi walioshiriki kuandaa Dira ya kwanza ya Umoja wa Wabunge wa Afrika (ALPA), kwa kushirikiana na viongozi kutoka Afrika Kusini, Senegal, Namibia, CoĢ‚te d’Ivoire, Tanzania, Uganda, DRC na Angola.

Hii ni hatua muhimu katika kuimarisha uwajibikaji, ushirikiano na utekelezaji wa maono ya taasisi na vyama vinavyowakilishwa katika mabunge mbalimbali barani Afrika.

...…................

Honoured to be among the leaders who shaped the first strategic vision of the African Liberal Parliamentarians Alliance (ALPA), alongside representatives from South Africa, Senegal, Namibia, CoĢ‚te d’Ivoire, Tanzania, Uganda, DRC, and Angola.

This marks an important step towards strengthening accountability, collaboration, and the shared institutional vision of political parties and organisations represented in African parliaments.

......................

Honorée d’avoir contribué, aux coĢ‚tés de dirigeants d’Afrique du Sud, du Sénégal, de Namibie, de CoĢ‚te d’Ivoire, de Tanzanie, d’Ouganda, de la RDC et d’Angola, aĢ€ l’élaboration de la premieĢ€re vision stratégique de l’Alliance des parlementaires libéraux africains (ALPA).

Cette étape importante vise aĢ€ renforcer la responsabilité, la coopération et la concrétisation des visions institutionnelles des partis politiques et des organisations représentés au sein des parlements africains.
12
Jumaa Mubarak.
17
back to up