Instagram story viewer> @victoria_napiya> Tagged
4.6K
followers
2416
following
🇹🇿African lady devoted to Jesus Christ* church girl*
POSTS STORIES REELS TAGGED
🕊️ POLE SANA VICTORIA NAPIYA KWA MSIBA WA BABA YAKO MZAZI. 🕊️

Kwa masikitiko makubwa, tunatoa pole zetu za dhati kwa mtumishi wa Mungu Victoria Napiya kufuatia kifo cha baba yake mzazi, Mzee Andrew Napiya Komba.

Victoria, tunatambua kuwa kumpoteza mzazi ni pigo kubwa na maumivu ambayo wakati mwingine ni vigumu kuyaelezea kwa maneno. Katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, tunakuombea Mungu akutie nguvu, akufariji wewe pamoja na familia nzima, na kuwapa amani inayopita fahamu zote.

Ingawa kuondoka kwa mzazi huacha pengo kubwa moyoni, tunafarijika katika ahadi ya Mungu kwamba yeye ni kimbilio letu na nguvu zetu, msaada utakaoonekana tele wakati wa taabu.

📖 “Bwana ametowa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na lihimidiwe.” — Ayubu 1:21

Tunakuombea neema ya Mungu ikubebe katika kipindi hiki, machozi yako yafutwe na upendo wake ukupe faraja isiyopimika.

Pumzika kwa amani, Mzee Andrew Napiya Komba.

Victoria na familia yote, poleni sana. Mungu awatie nguvu na kuwafariji. 🕊️🙏🏽

#GospelToTheNationsTZ #PoleKwaMsiba #FarajaYaMungu
47
Jinsi ya kufika msibani kwa Baba yake na VICKY NAPIYA @victoria_napiya (Mzee ANDREW NAPIYA )

Kwa daladala kutokea Mbezi Magufuli kwenda Tegeta Nyuki kupitia Madale, shukia kituo kinaitwa Bwawani kisha chukua bodaboda (1500) kuelekea Msibani kwa Mzee Komba.

Kutokea Tegeta Nyuki panda gari zinazopita madale na ushuke kituo cha Bwawani chukua bodaboda kuelekea msibani kwa Mzee Komba

KWA ku-REQUEST 
Destination ni NANCY SALOON (umoja road)
43
My lovely sisters @victoria_napiya @dianakatos and @sheisj3scar have already got there tickets 🔥🔥

Hakikisha unapata ticket yako mapema  kabla hazijaisha ni tarehe 14/10 pale orel studio kwanzia saa kumi kamili jioni🔥
20
Familia yangu kama kawaida wapo kuni-support kwenye wimbo wetu mpya ambao upo pale Youtube

@doxanhigula @dianakatos @andrewmichaelkan @victoria_napiya
17
Dada mkubwa ame-support kazi ya mdogo wake hii ni upendeleo wa namna gani❤️
11
Imekuwa Jumapili ya baraka kutembelewa na Archbishop  Erastus Andrew wa huduma ya @faithwordministriestz ambaye ni Baba wa Kiroho wa Archbishop Dr Bruno Mwakibolwa wa @officialmitoyabarakachurch
Kanisa la Mito ya Baraka linapatikana Mbezi Juu jirani na Mnara wa Voda. Barabara ya Goba kituo ni Kayuni 
 #mitoyabaraka #church #gospel
19
Hii siyo sauti tu, ni ushuhuda wa moyo unaolitambua ukuu wa Mungu Nikiangalia uumbaji wako, Bwana Mungu, nashangaa kabisa.
	❤️🎤Wimbo wa sifa unaotoka ndani ya roho, si kwa mazoea bali kwa ufunuo.
#minister 
#bwanamungunashangaa
19
back to up