Instagram story viewer> @victoria_napiya> Posts
4.6K
followers
2417
following
πŸ‡ΉπŸ‡ΏAfrican lady devoted to Jesus Christ* church girl*
POSTS STORIES REELS TAGGED
GOD BLESS YOU ALLπŸ™ by @victoria_napiya
20
12 hours ago
Download
RATIBA YA MAZISHI YA BABA YAKE NA VICKY NAPIYA @victoria_napiya (MZEE ANDREW MARTIN NAPIYA)

Ninatuma ujumbe huu kwa niaba ya rafiki yetu mpendwa Victoria, ambaye anapitia kipindi kigumu sana cha kumpoteza Baba yake mzazi, Mr. Andrew Martin Napiya.

​Huu ni msiba mzito sana kwake na kwa familia yake yote. Kama marafiki  ni jukumu letu kusimama naye katika wakati huu wa simanzi kubwa. Kumpoteza baba si jambo rahisi, na upendo wetu ndio utakaomfariji. Tuungane kuupumzisha mwili wa Baba yetu. by @victoria_napiya
6
6 days ago
Download
πŸ•ŠοΈ POLE SANA VICTORIA NAPIYA KWA MSIBA WA BABA YAKO MZAZI. πŸ•ŠοΈ

Kwa masikitiko makubwa, tunatoa pole zetu za dhati kwa mtumishi wa Mungu Victoria Napiya kufuatia kifo cha baba yake mzazi, Mzee Andrew Napiya Komba.

Victoria, tunatambua kuwa kumpoteza mzazi ni pigo kubwa na maumivu ambayo wakati mwingine ni vigumu kuyaelezea kwa maneno. Katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, tunakuombea Mungu akutie nguvu, akufariji wewe pamoja na familia nzima, na kuwapa amani inayopita fahamu zote.

Ingawa kuondoka kwa mzazi huacha pengo kubwa moyoni, tunafarijika katika ahadi ya Mungu kwamba yeye ni kimbilio letu na nguvu zetu, msaada utakaoonekana tele wakati wa taabu.

πŸ“– β€œBwana ametowa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na lihimidiwe.” β€” Ayubu 1:21

Tunakuombea neema ya Mungu ikubebe katika kipindi hiki, machozi yako yafutwe na upendo wake ukupe faraja isiyopimika.

Pumzika kwa amani, Mzee Andrew Napiya Komba.

Victoria na familia yote, poleni sana. Mungu awatie nguvu na kuwafariji. πŸ•ŠοΈπŸ™πŸ½

#GospelToTheNationsTZ #PoleKwaMsiba #FarajaYaMungu taken in Dar es Salaam, Tanzania by @victoria_napiya
47
6 days ago
Download
Jinsi ya kufika msibani kwa Baba yake na VICKY NAPIYA @victoria_napiya (Mzee ANDREW NAPIYA )

Kwa daladala kutokea Mbezi Magufuli kwenda Tegeta Nyuki kupitia Madale, shukia kituo kinaitwa Bwawani kisha chukua bodaboda (1500) kuelekea Msibani kwa Mzee Komba.

Kutokea Tegeta Nyuki panda gari zinazopita madale na ushuke kituo cha Bwawani chukua bodaboda kuelekea msibani kwa Mzee Komba

KWA ku-REQUEST 
Destination ni NANCY SALOON (umoja road) by @victoria_napiya
43
7 days ago
Download
My lovely sisters @victoria_napiya @dianakatos and @sheisj3scar have already got there tickets πŸ”₯πŸ”₯

Hakikisha unapata ticket yako mapema  kabla hazijaisha ni tarehe 14/10 pale orel studio kwanzia saa kumi kamili jioniπŸ”₯ by @victoria_napiya
20
12 days ago
Download
If Eeh Nafsi yangu was a person πŸ˜‚πŸ˜‚ @rehema_simfukwe  Vya kurithi vikizidiπŸ˜‚πŸ˜‚ by @victoria_napiya
25
a month ago
Download
 by @victoria_napiya
2
2 months ago
Download
Ni Yesu tu πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
@ikupamwambenja_official by @victoria_napiya
25
2 months ago
Download
Familia yangu kama kawaida wapo kuni-support kwenye wimbo wetu mpya ambao upo pale Youtube

@doxanhigula @dianakatos @andrewmichaelkan @victoria_napiya by @victoria_napiya
17
3 months ago
Download
🌸 π—žπ—”π— π—•π—œ 𝗬𝗔 π—ͺ𝗔𝗑𝗔π—ͺπ—”π—žπ—˜ 𝗑𝗔 π— π—”π—•π—œπ—‘π—§π—œ 🌸 

Ni wakati mwingine wa neema, kujengwa kiroho, kuimarishwa katika imani na kuhuishwa upya mbele za Mungu.

Kurugenzi ya Wanawake ya *MITO YA BARAKA CHURCH* inakualika kushiriki katika *KAMBI YA WANAWAKE NA MABINTI* itakayowakutanisha wanawake wa rika mbalimbali kwa ajili ya maombi, mafundisho, ushauri na kujifunza mambo yatakayogusa maisha ya kiroho, kijamii na kifamilia.

πŸ‘©β€πŸ« *WATOA MADA:*
πŸ”Ή *Askofu Dkt. Gwantwa Mwakibolwa* (Mwenyeji)
πŸ”Ή *Mama Victor*
πŸ”Ή *Rodrick Nabe*
πŸ”Ή *Mwalimu Francis Langula*

πŸ“… : 17 – 19 Juni, 2026
⏰ : Kuanzia saa 2:30 asubuhi kila siku
πŸ“ : Mito ya Baraka Church HQ, Mbezi Juu – Kayuni (House of Consolation), jirani na Mnara wa Vodacom

🍽️ *MALAZI NA CHAKULA NI BURE.*

Karibu ujifunze, ujengwe na upokee kile ambacho Mungu amekikusudia katika maisha yako.

πŸ’œ *WANAWAKE WOTE WANAKARIBISHWA.* by @victoria_napiya
0
4 months ago
Download
Imekuwa Jumapili ya baraka kutembelewa na Archbishop  Erastus Andrew wa huduma ya @faithwordministriestz ambaye ni Baba wa Kiroho wa Archbishop Dr Bruno Mwakibolwa wa @officialmitoyabarakachurch
Kanisa la Mito ya Baraka linapatikana Mbezi Juu jirani na Mnara wa Voda. Barabara ya Goba kituo ni Kayuni 
 #mitoyabaraka #church #gospel by @victoria_napiya
19
6 months ago
Download
Hii siyo sauti tu, ni ushuhuda wa moyo unaolitambua ukuu wa Mungu Nikiangalia uumbaji wako, Bwana Mungu, nashangaa kabisa.
	❀️🎀Wimbo wa sifa unaotoka ndani ya roho, si kwa mazoea bali kwa ufunuo.
#minister 
#bwanamungunashangaa taken in Dar es Salaam, Tanzania by @victoria_napiya
19
8 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up