Thanks @lead.tz for sharing with us!
1️⃣2️⃣0️⃣0️⃣0️⃣ is the total number of bunds that we have dug in the past few weeks in Monduli district in Arusha together with hundreds of pastoralists and our amazing partners @justdiggit and Erbarcher Foundation. The bunds will help to harvest most of the rainwater in the coming rain season and help to bring back vegetation in the degraded lands.
1️⃣2️⃣0️⃣0️⃣0️⃣ ndiyo idadi ya makingamaji ambayo tumechimba wiki chache zilizopita wilayani Monduli Arusha kwa kushirikiana na mamia ya wafugaji na washirika wenza @justdiggit na Erbacher Foundation. Makingamaji yatasaidia kuvuna maji ya mvua na kurejesha uoto katika maeneo haya yaliyochakaa wilayani Monduli.
#organic #LEADfoundation #Rainwaterharvesting #rainwater #kisikihai #GenerationRestoration #restoration #monduli #Arusha #Monduli #regreenrevolution
Hongera sana Watoto wetu wa MONDULI kwa kuwa Mabingwa wa UMISSETA kwa Mkoa wa Arusha.
#MonduliKwanza
#KaziNaUtuTunasongaMbele
VIDEO: Hii ni sehemu tu ya video ikionesha baadhi ya magari ya Waombolezaji waliojitokeza Monduli, Arusha leo kumzika Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa.
Nini kimekugusa zaidi kwenye huu msiba ?
Rais mstaafu wa awamu ya 4 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete tayari wamewasili hapa Wilayani Monduli Mkoani Arusha kwenye Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Tupo LIVE muda huu kutoka nyumbani kwa Edward Sokoine kupitia @stbongotv ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV
#STBongoUPDATES #Miaka40YaKifochaSokoine
Makuyuni, Monduli – Arusha • 3.8 Acres • Road Front • Junction to Safari Parks • $145,000
—
On offer is a prime 3.8-acre (15,378.6 SQM) commercial plot in Makuyuni, Arusha, just 30 meters from the major junction connecting the Arusha–Babati and Arusha–Karatu roads.
Positioned at the gateway to Lake Manyara, Ngorongoro, and Tarangire National Parks, this plot offers unmatched visibility and access along one of northern Tanzania’s busiest tourist and transit routes.
Ideal for a petrol station, highway restaurant, lodge, logistics base, or any high-traffic commercial development. It sits directly on the tarmac road with clear frontage and a clean title.
Rare opportunity in a booming corridor — serious inquiries only.
Contact MRELA Realty for full details and viewing arrangements.
—
Makuyuni, Monduli – Arusha • 3.8 Acres • Junction Plot • Commercial Frontage • $145,000
#arusharealestate #tanzaniarealestate #commercialproperty #makuyuni #monduli #plotsforsale #investmentopportunity #safarigateway #ngorongoro #tarangire #lakemanyara #mrelarealty #propertyintanzania #roadfrontproperty #realestateafrica #arusha2025
The bustling activity that mark the end of the coffee cherry picking day.
#coffee #specialtycoffee #premiumcoffee #premiumcoffeebeans #coffeebeans #greencoffeebean #coffeequality #coffeefarm #coffeefarmers #coffeeplantation #coffeetour #tanzania #tanzaniacoffee #mountmeru #arusha #tanzania🇹🇿#visittanzania #africanature #onlyafrica #arabicacoffee #AAgrade #mondulcoffeeestate #mondulcoffee #mondulitanzania #monduli #mtmonduli
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli wameungana kufanya mazoezi ya viungo mapema asubuhi ya leo kabla ya kuingia kazini, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha afya, mshikamano na kuongeza ufanisi kazini. Mazoezi haya yamefanyika katika viwanja vya ofisi ya Halmashauri.
Kauli mbiu:Mazoezi ni Afya, mazoezi ni furaha, mazoezi ni urafiki.
@wizara_sanaatz
@ortamisemi
@rc_mkoa_arusha
UTALII WA NDANI TEMBO WAKINYWA MAJI KATIKA BWAWA LA ESILALEI
😍Watch till the end😍 Monduli Mountain, Tanzania a view from my flight to Arusha. Elevation: 2660 meters, 8727 feet. It felt like god’s light was shining from above into this beautiful land that was blessed with beautiful nature that is nourished with lushness and greenery. #arusha #arushatanzania #monduli #mondulitanzania #mondulimountain #tanzania #tanzania🇹🇿 #tanzaniasafari #tanzaniaunforgettable #tanzaniadestination #mountains #mountain #mountainlife #mountainlovers #mountainside #mountainview #frommyplanewindow #planeview #fromtheflight #réel #reelsinstagram #réel #reelsvideo #reel #africa #african #africanbeauty #africanmountains
1️⃣2️⃣0️⃣0️⃣0️⃣ is the total number of bunds that we have dug in the past few weeks in Monduli district in Arusha together with hundreds of pastoralists and our amazing partners @justdiggit and Erbarcher Foundation. The bunds will help to harvest most of the rainwater in the coming rain season and help to bring back vegetation in the degraded lands.
1️⃣2️⃣0️⃣0️⃣0️⃣ ndiyo idadi ya makingamaji ambayo tumechimba wiki chache zilizopita wilayani Monduli Arusha kwa kushirikiana na mamia ya wafugaji na washirika wenza @justdiggit na Erbacher Foundation. Makingamaji yatasaidia kuvuna maji ya mvua na kurejesha uoto katika maeneo haya yaliyochakaa wilayani Monduli.
#LEADfoundation #Rainwaterharvesting #rainwater #kisikihai #GenerationRestoration #restoration #monduli #Arusha #Monduli #regreenrevolution
Monduli tutawaona tena jamni 😍😍❤️
#monduli …..#gai #gainwithxtiandela #gainwiththeepluto #gainwithcarlz #gainwithpaula #gain #gainparty #gaintrains #gainwithcarlz #gainz #gainwithkombora
The lush forests of Monduli at dawn.
#tanzania #tropichelicopters #tropictz #monduli