Instagram story viewer> @wakanda_republic> Posts
1768
posts
80.5K
followers
1293
following
Certified IT Technician
Holds a CAF DIPLOMA license
Sports analyst & pundit
Iringa’s finest
Works at @eastafricaradio & @eastafricatv
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
UCHAMBUZI KWENYE UBAO.Tudeal na udhaifu wa Azam kiufundi na adhabu walizopewa na Yanga.Usisahau kuacha comment na kushare. by @wakanda_republic
28
3 months ago
Download
TUMCHAMBUE SASA:Kama swali ni “WINGA ANAYE DRIBBLE YUPOJE?” Jibu ni KELETSO MAKGALWA. Simba wameenda kuongea dribbler kwenye kikosi chao baada ya kumpata Libbase sasa wana Keletso! Huyu yeye anafaida kubwa moja, dribbling zake anazifanya akiwa anatokea pembeni kulitafuta box kitu ambacho ule upande wa kushoto Simba walikuwa wana miss sababu Anicet Oura anaenjoy sana kukimbilia kwenye half spaces. Kwenye huu usajili Simba wanapata vifuatavyo.1. Mchezaji mzuri wa kutanua uwanjaSimba kwenye kushambulia wataenjoy sana kwasababu Keletso ni winger ambaye anakaa kwenye touchline akisubiri apewe mali na kuifanya timu kuwa na mchezaji kwenye mapana ya uwanja na kunufaika ile maximu pitch width.2. Msaidizi wa full backKeletso kwasababu muda wote anacheza kwa kuifadisha timu kushambulia atakuwa anapunguza mzigo kwa fullback wake ambaye anakuwa anakabiliana na wachezaji wachache muda ambao Simba wanapoteza mpira. Hii inatokana na uhatari wake lazima afanyiwe marking na wapinzani.3. Bonge moja la dribblerKwenye wakati ambao mpinzani anakaba njia unahitaji kuwa na mchezaji anayeweza kupenya na mpira kwenye mistari ya ulinzi ili kuunda mashambulizi. Sasa Keletso ndio password ya block za wapinzani kwasababu anauwezo mzuri sana wa kuuficha mpira ili usipotee huku anasogea nao kwenye lango la wapinzani. Simba anazidi kufuga wanyama wakali. Msimu ujao watatupa kitu cha kizuri, IWAPO STEVE BARKER ataendelea kumaintaina kasi yake ya kukua. by @wakanda_republic
22
5 hours ago
Download
Hii ni kawaida yetu kila Jumamosi #EATVJoggingClub tunakutana Barabarani@kilimanjaro_mineral_water by @wakanda_republic
6
8 hours ago
Download
TUWACHAMBUE SASA:Katika hizi sajili tatu hela yangu naiweka hapa kwa Albert Kangwanda. Huyu ndio mchezaji ambaye so far anakuja kuimprove daraja la kiuchezaji moja kwa moja la klabu ya Yanga. Ni winger kiasili kwenye matumizi makubwa ya mguu wa kushoto, ana experience kubwa na soka la Africa kwenye ngazi za juu akiwa amepita pia klabu kama Al Hilal Omdurman tena ile dume kabisa bahati mbaya machafuko ya kisiasa yakamfanya atolewe kwa mkopo kutokana na kutoridhika kucheza kwenye mazingira ya kuhamahama ligi. Last season kawa MVP pale Zambia akiwa na Red Arrows bao 17 plus assist 9 kachangia bao 26 huyu mtu. Sasa angalia aspects za technical na tactical.1. Albert anaweza kutumika kama winger wa kulia kwasababu anauwezo wa kushambulia Half space zilizopo baina ya fullback na beki wa kati wa wapinzani. Maarifa yake na ufundi kwenye mguu vinampa uhakika wa kuwa mwiba kwa walinzi wa wapinzani. 2. Albert anaweza tumika kama winger wa kushoto kutokana na kasi na matumizi makubwa ya mguu wa kushoto kwenye zile mechi zinazohitaji mawinga wa kupiga cross anaweza kuwa msaada mkubwa sana kwa timu yake. 3. Mbadala wa mfungaji Kwenye game ukiwa na Albert inamaana una mfungaji ambaye hachezi eneo la mwisho. Kwamba iwapo mshambuliaji kabanwa basi ni uhakika unaweza kumtegemea Albert kuweka mpira kambani. Kwangu mimi huu ndio usajili bora zaidi kwa Yanga mpaka nukta hii. by @wakanda_republic
35
9 hours ago
Download
#Kipenga: "Tofauti ya Ibrahim Doumbia na Selemani Mwalimu ni Uraia tu" - @wakanda_republic#Kipenga #HainaKuchoka #EastAfricaRadio by @wakanda_republic
195
21 hours ago
Download
#Kipenga: "Uchezaji wa Ibrahim Doumbia hauna tofauti na Prince Dube" - @wakanda_republic#Kipenga #HainaKuchoka #EastAfricaRadio by @wakanda_republic
36
21 hours ago
Download
USAJILI:Huu ni mwaka wa uchaguzi Yanga. Wakiamua lao ili kufurahisha wanachama hayupo wa kupinga. Ila as far as nachojua ni Jean Girumugisha na Al ahly Tripoli wana makubaliano makubwa sana ikiwemo1. Dau la usajili wa dola Milioni 1 2. Mshahara wa Dola elfu 45 kwa mwezi.Narudia tena mwaka wa uchaguzi kwa Yanga huu hakuna linaloshindikana. Waliamua kwa Mzize wanaweza kufanya kwa Jean Claude pia. by @wakanda_republic
87
a day ago
Download
Nilipofanya mazungumzo na mwenyekiti wa IRFA Cyprian Kuyava nilimuuliza kuhusiana na mchango wake ndani ya klabu ya Lipuli na amenithibitishia kua alitoa zaidi ya shilingi milioni 350 kwa mwaka wa kwanza na wapili pekee na alifahamu kiasi kamili cha hela aliyotoa kuisaidia klabu hiyo baada ya kuulizwa na viongozi wa Lipuli ambao waliahidi kumlipa fedha zake.Nilipopata nafasi ya kuzungumza na sehemu kubwa pia ya wadau baada ya mahojiano haya waliniambia kwamba Lipuli ina machozi na maumivu ya watu wengi waliotoa muda, fedha na jitihada zao za kila aina ili klabu hiyo ifanikiwe lakini mwisho wa siku walitengwa na kuwekwa pembeni wakihesabiwa kua wao sio wanachama na hawana haki yoyote ile ndani ya klabu ya Lipuli.Wakati huu tulipo katika harakati za kuunda timu itakayotengeneza uwezekano wa kuinua soka la Iringa na kuoata timu katika madaraja ya juu, msingi wa kwanza unaotakiwa kutengenezwa ni msingi wa umoja na mshikamano kwa kila mdau wa soka, kila mtu asahau majeruhi ya Lipuli ili kupiga hatua zaidi ya kisoka kama mkoa.Lawama pekee zinaweza kuendelea kuturudisha nyuma lakini tunahitaji busara ya viongozi wenye dhamana katika ngazi zote hadi serikali ili kuunganisha mkoa wetu wa Iringa na kua wamoja kisoka.@comradekheri @ndg.kheri_james by @wakanda_republic
1
a day ago
Download
Kuna siku tutamlaumu Faisal 🖐🏿@stevechampion17 by @wakanda_republic
256
a day ago
Download
MY TEAM MY PRIDEUkiona Singida imeshusha mchezaji mzungu automatically ni baller. Scouting system ya SBS mara zote imekuwa ikifanikiwa ku pin point wachezaji wazuri sana. Sina mashaka na uwezo wa Marcel lakini je atakuwa fiti kucheza muda wote? But all in all am proud of my team CHUI CHUI🔥🔥🖤 by @wakanda_republic
8
2 days ago
Download
Rafiki yangu kanitumia hii code kasema niifungue. Mimi nimeshindwa kuifungua naomba msaada atakuwa nani huyu! Ila kasema HE IS BACK😀 by @wakanda_republic
70
2 days ago
Download
#TANZIA Mwili wa aliyekuwa makamu mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya klabu ya Simba Iddy Kajuna unaswaliwa hapa mchana huu kabla ya kuelekea katika makaburi ya Kisutu kwaajili ya mazishi. Marehemu Iddy Kajuna pia alikuwa sehemu ya baraza la washauri wa Rais wa klabu ya Simba.Apumzike kwa Amani Iddy Kajuna. by @wakanda_republic
2
2 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up