Instagram story viewer> @bahatisimba90> Posts
192
posts
25.9K
followers
4555
following
Founder & ED @awwf2026
.Youth, women & social champion
.SDG’s Advocate
@yowedfoundation2019 @spicewarriorstz @unitarhq @coalition_againstchildlabour
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Hellow Dears .. It has been a long time since you got my last post .. Ila leo nimeamua kurud na post hii..Hakika tunapaswa kumshukur Mungu na kumtegemea yeye kwa kila hatua tunazopiga maana anaweza kukuitia wito na asikueleze katka.wito huo utapitia yapi Katika kuufikia. Kwahiyo, ile kwamba Mungu kakuonesha Kaanani yako (Hatma) haina maana kwamba utaifikia kirahisi, lazima upate changamoto zikukomaze ukiwa safarini.Lakini pia, ile kwamba unakutana na changamoto ukiwa njiani kuelekea unapotaka kufika haina maana kwamba sio Mungu aliyekuruhusu.Katka maisha ..Nilichojifunza ni kwamba, Mungu anatuambia Kuhusu Uzuri wa HATMA ya safari na anatuficha kuhusu uchungu tunapokua katika MCHAKATO wa kuifikia HATMA.Na huyo ndio Mungu sasa, Anaweza kukuonesha jinsi wazo lako linavyoweza kukuinua, lakini asikuoneshe jinsi utakavyokutana na upinzani wakati unalifanyia kazi.Na hii ni kwa sababu, anajua kama sisi hatutaki shida..hivyo huwa anatuficha baadhi ya Mambo... Mfano angekua anatuonyesha vitu tutakavyopitia katk safar zetu bas tungeshabadilisha mitazamo na tUsingeendelea kupambania ndoto zetu Hivyo bas..Mungu akikuruhusu uanze safari fulani basi ujue tayari ameshaweka mambo yoote yatakayokusaidia ukiwa safarinianajua namna ya kukutunza na kukuhifadhi mpaka ufike unapokwenda.Akikwambia "Nenda" basi ujue kila kitu kashamaliza.Wakati mwingine Mungu hawezi kukuonesha picha kamili, atakuonesha sehemu tu ya safari yako itakavyokuwa ila picha kamili anayo yeye.Hilo unalopitia leo alijua tu kama utapitia na anajua namna ya kukusaidia uvuke na kutoka katika hilo.Kwahiyo, hakuna haja ya kuanza kutilia mashaka nguvu zake na utendaji wake. Kuna mda tunalalamika na kuhuzunika na kuhisi tunaonewa lakin jua hyo ndo njia aliyotaka uipitie ili tu ufike anakotaka wew uwe.Mungu akisema uanze safari, manake amnafanya uwekezaji kwako ili kuhakikisha UNAFIKA ANAPOPATAKA.Kwahiyo...Yawezekana Umeanza Kulifanyia kazi wazo lako, au umeanza kuiishi ndoto yako...ulisikia msukumo kabisa.Changamoto unazokutana nazo kuna namna ya Wewe kukabiliana nazo..Mungu atakusaidia, niamini mimi.Hakuna kuacha, hakuna kurudi,hakuna kukata tamaa ni mpaka ufike Mungu alipokusudia. YOURSBINTI SIMBA by @bahatisimba90
76
3 years ago
Download
Je ni sahihi kondakta kumzuia mwanafunzi kupanda basi??.Imekua ni tabia ya kuzoeleka nyakat za asubuhi au jioni pale ambapo wanafunzi wanazuiliwa kupanda magari na hivyo inawalazimu kudamka mapema sana alfajiri ambapo kwa mwanafunzi anayeishi maeneo hatarishi lolote baya linaweza kumkuta tuachane na hayo nahitaji kukuelezea story fupi ya ukwel iliyomkuta kiongoz mwenzangu na unipe maoni yako😊...:!Kiongoz mwenzangu wa @yowedfoundation2019 alikua yuko safarini ilikua ni alfajiri maeneo ya kigamboni kama mjuavyo abiria ni wengi asubuhi wanawahi makazini huku watoto nao wakiwahi mashuleni.. lakin tabu inakuja wanapotaka kupanda mabasi wanazuiliwa na makondakta hali hii ni kawaida imezoeleka lakin siku hyo konda alienda mbali zaidi maana mwanafunzi aliforce kuingia na konda alimsukuma kwa teke mwanafunzi akaanguka chini.Kiongoz mwenzangu alikua ni mmoja wa abiria na hivyo hakukubali ile hali na ilibidi utokee mtafaruku Kwakua yeye alishinikiza yule mwanafunzi apande kwasababu kwa kitu alichokifanya konda kwa kumpiga teke hakikua sahihi katka mtafaruku konda alianza kumpiga pia yule bwana kwa bahati mbaya kiongoz wangu alimpiga ngumi.konda na kumtoa meno. Wakati huo wote abiria wao walikua wanashinikiza kua wanachelewa hawakufikiria hali ya mwanafunzi yule mpaka konda alipotolewa meno ndipo walimvamia yule bwana n kumpiga na mwisho walienda polis na sasa kesi iko mahakamani.Tuishie hapo😊-kosa ni la nan??.-Na je ni kwann imekua kawaida kwetu wanafunzi wanapozuiliwa kupanda mabas hua hatuongei badala yake hua tunajali mambo yetu.-Nini kifanyike ili kupunguza adha wanayopata wanafunzi nyakati za asubuhi na jioni?? by @bahatisimba90
12
4 years ago
Download
New focusNew energyLets go together..Follow @spicewarriorstz @spicewarriorstz by @bahatisimba90
53
4 years ago
Download
*CALL FOR VOLUNTEERS*NATIONAL YOUTH EMPOWERMENT SUMMIT (NYE-SUMMIT-2026)(NYE-SUMMIT)2026 invites passionate, committed, and result-oriented young people to apply for volunteer positions within the Organizing Committee for the upcoming summit.This is a unique opportunity to contribute to one of the leading youth empowerment platforms in Tanzania while gaining valuable leadership, networking, and professional experience.*AVAILABLE POSITIONS*• Fundraising Officers – 05 Positions√ Program Coordination Officers – 02 Positions√ Logistics Officers – 03 Positions√Communication Officers – 03 Positions√ Finance Officers – 02 Positions√ Promotion Officers – 02 Positions*ELIGIBILITY CRITERIA*√ Aged between 18 and 35 years√ Minimum qualification: Certificate or above√ Strong commitment to volunteerism and youth development√ Good communication and teamwork skills√ Ability to work effectively under minimum supervision*APPLICATION PROCEDURE*Applicant should submit:• Updated Curriculum Vitae (CV)• A brief motivation letter indicating the position being applied forApplications should be sent to:*Email:cbyoapplication@gmail.com**For inquiries, please contact:*+255 757 830 276+255 744 220 587Join us in shaping a transformative and impactful National Youth Empowerment Summit 2026.*Application Deadline: 17 June 2026* by @bahatisimba90
5
a month ago
Download
🌸 We are kicking off this new month with the launch of the Malkia Pad Bank at Kikuyu secondary school in Dodoma— a step forward in advancing the Safe Menstruation Agenda and ensuring that no girl is left behind because of her period.Through this initiative, we are not only providing access to menstrual products, but also creating a platform for education, awareness, and open conversations about menstrual health. By breaking myths, reducing stigma, and empowering young girls with accurate information, we are building a community where menstruation is understood, respected, and managed with dignity.Every pad donated, every conversation started, and every girl reached brings us closer to a future where menstrual health is a right, not a privilege.Together, we continue to champion menstrual dignity, education, and equal opportunities for all. 💕👑Happy new month, Happy World Menstrual Hygiene Day, we reaffirm our commitment to breaking menstrual stigma, promoting menstrual health education, and ensuring every girl and woman has access to safe menstrual products and support.Cc@yowedfoundation2019 @malkiacampus_ @rewritechangeorg #MalkiaPadBank #SafeMenstruation #MenstrualHealthMatters #PeriodDignity #GirlsEmpowerment EndPeriodStigma MenstrualEducation YouthForChange CommunityImpact by @bahatisimba90
54
2 months ago
Download
Honored to announce our Special Guest, Bahati Simba, at the Malkia Pad Bank Launch! Join us as we empower young girls, break barriers, and champion menstrual dignity together. 📍 Venue: Kikuyu Secondary School📅 Date: 28/5/2026This is more than an event — it’s a movement for confidence, education, and empowerment. #MalkiaPadBankLaunch #GirlEmpowerment #MenstrualHealthMatters #SpecialGuest #CommunityImpact EmpowerHer MalkiaMovement KikuyuSecondarySchool by @bahatisimba90
16
2 months ago
Download
Many of today’s youth, myself included, have grown up without fully understanding our roots and cultural identity. It was truly an honor to be among the young people given the opportunity to participate in a discussion at @bunge.tanzania with the Speaker of the Parliament of Tanzania @zungumussa and traditional chiefs from different parts of Tanzania on the future of preserving, teaching, and protecting our cultural heritage.The conversation reminded me that culture is not something to admire from a distance — it is something to understand, carry forward, and pass on. If we do not learn and preserve it today, future generations may never fully know where they come from.Grateful to be part of a space that encourages youth to reconnect with their identity and become active custodians of our nation’s traditions, values, and heritage for generations to come. More to come just prepare your platesCc.@bunge.tanzania @yowedfoundation2019 by @bahatisimba90
37
2 months ago
Download
Bajeti ya Vijana haikuzungumzia fedha pekee, bali ilizungumzia mustakabali wa kizazi chetu. 🇹🇿✨Mambo makuu yaliyopewa kipaumbele:• Uwezeshaji wa vijana kiuchumi — kuongeza fursa za ajira, biashara na kujiajiri.• Uwekezaji kwenye ujuzi na ubunifu — kuwaandaa vijana kwa ushindani wa dunia ya sasa.• Ushiriki wa vijana kwenye maendeleo ya taifa — kutoka kuwa watazamaji hadi kuwa sehemu ya maamuzi na utekelezaji.Ujumbe mkubwa ni kwamba fursa zipo, lakini zinahitaji vijana wenye taarifa, maandalizi na uthubutu wa kuzitumia.Sauti ya vijana isiishie kusikika, ionekane kwenye matokeo. ✨Cc. @orvijana @joelnanauka_ @waziri_wa_vijana @yowedfoundation2019 #BajetiYaVijana #VijanaNaMaendeleo #YouthEmpowerment #SautiYaVijana #Tanzania FutureStartsNow by @bahatisimba90
26
2 months ago
Download
Life keeps teaching, and I keep growing while some chapters are quiet, but they still change everything. #life #lifestyle #lifeexperience #lifeinmy20s by @bahatisimba90
52
2 months ago
Download
Honored to have been invited to a @bunge.tanzania by the Ministry of Youth @orvijana Wizara_ya_Vijana to witness and engage in discussions on the Youth Budget and the collective voice of young people towards the future we want to build.This experience was more than being present in the room—it was a reminder that youth are not waiting for change; we are part of creating it. Every policy, every conversation, and every decision were made to shape the opportunities and realities of tomorrow.Real progress begins when young people are seen not only as beneficiaries of change, but as partners in shaping it and may we continue creating spaces where young voices are heard, valued, and transformed into action. 🇹🇿✨Because the future is not something young people inherit—it is something we help design. Cc @yowedfoundation2019 @orvijana @bunge.tanzania #YouthVoice #YouthDevelopment #YouthLeadership #Tanzania #FutureInAction by @bahatisimba90
124
2 months ago
Download
“Kwenye maisha ya vijana wengi, hustle sio choice tena… ni survival. Wengine tunaamka kila siku na tabasamu usoni, lakini ndani tumechoka, tumebeba pressure za familia, ndoto zetu, na hofu ya kesho. Kuna wanaopambana kimya kimya kuhakikisha nyumbani kuna chakula, kuna ada inalipwa, au angalau maisha yanaendelea kusogea mbele kidogo.Hakuna anayejua vita anavyopitia kijana mpaka akae nae karibu. Tunaonekana strong kwenye mitandao, lakini ukweli ni kwamba wengi tunajaribu tu kutokata tamaa. Tunakosa usingizi tukifikiria future, tunaficha maumivu nyuma ya ‘niko poa’, na bado tunaendelea kupambana kila siku.Lakini pamoja na yote… bado tunaamini ipo siku juhudi zetu zitazaa matunda. Na kwa kila kijana anayehustle kimya kimya bila support, bila connection, lakini bado anaendelea kusimama… heshima kubwa sana kwako. 🤍”. Cc. @mullaobo by @bahatisimba90
37
2 months ago
Download
Honored to receive an invitation from the Embassy of the Islamic Republic of Iran, where we had the opportunity to express our sincere condolences and stand in solidarity during this difficult time.We also visited the Iranian Cultural Centre, @iran.tanzania where we learned more about the rich history, values, and culture of Iran. It was a meaningful experience filled with insightful discussions, cultural exchange, and conversations about future collaborations that can strengthen connections between our communities.Moments like these remind us of the importance of unity, respect, and international friendship. 🤝✨More to come 💯🙏🏼📌💫 by @bahatisimba90
48
3 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up