Instagram story viewer> @iconshax_> Posts
26K
followers
2076
following
Climate Activist| Environmentalist| @official.ete
We push environmental issues digitally
Tourism| Travel| Adventure @localtourtz
JESUS SAVED ME ✝️
POSTS STORIES REELS TAGGED
It's been awhile napenda kuwakaribisha kusikiliza wimbo wangu mpya 🎶🎶 
Tittle: Distance 

Artist @iconshax_ 

Producer @banx_prod 

Let's enjoy, Let's support, Let's share goodusic 🎚️🎚️🎷
#distace #street by @iconshax_
10
12 days ago
Download
What's good watu wangu wanguvu Leo nawaletea wimbo wangu mpya special kwaajili ya vijana woote wapambanaji unaoenda kwa jina la Distance 
#Distance #socialdistance #iconshax

Link Iko kwa bio ili kuweza kusikiliza muziki mzuri!! Karibuu☝️ by @iconshax_
13
12 days ago
Download
SEHEMU NI MOJA TUU💥💥💥
Msimu wa kiangazi Zanzibar 🏖, ambao huanza tangu mwenzi Juni hadi Agosti, msimu huu huelezewa na hali ya hewa kavu na nzuri. Hali iliyopelekea kuwa kipindi maarufu cha kuona uzuri wa visiwani, kuchunguza vivutio vya kisiwa, na kufurahia siku za joto na jua.

NI kwa Tsh 400,000/= TU tutakwenda kutembelea maeneo yote pendwa Zanzibar 

@etesafari
#localtourtz by @iconshax_
1
2 years ago
Download
Shukraan za dhati kwa @efmtanzania @tajiwidi nmeweza tambulisha wimbo wangu wa DISTANCE kwa mara ya kwanza link Iko juu☝️ kwa bio tuendelee kushare, subscribe na kulike ⚡⚡🎚️

#Distance #socialdistance #iconshax taken in Ukonga Mombasa by @iconshax_
14
11 days ago
Download
TWENDE ZETU ZENJII SASA💥
#localtourtz by @iconshax_
0
2 years ago
Download
@official.ete tunayo fahari kuwa miongoni mwa wadhamini wakuuu wa Iftarghalaphase|| 2025. Lengo kuu katika kushiriki kwetu ikiwa ni kuacha alama pamoja na kuongeza Tumaini kwa kijana wa kitanzania anaeishi katika Mazingira magumu. Hivyo @official.ete tukiungana na @lightersfamily_org @vijana_wajibutz na wengine tutakuwa na safari kuelekea Tanga #TangacharityTour🚎 ambapo tutakwenda kuacha alama kwa watoto na vijana wanaoishi katika Mazingira magumu . Kutoa ni moyo na wala sio utajiri
#Iftarghalaphase||2025
#charityevent 
#godisthegreatest taken in Mwenge by @iconshax_
7
2 years ago
Download
✴LIGHTENING THE WAY✴ 

@official.ete tutakuwepo kushiriki Iftar Gala toleo la pili, Ikiwa huu ni msimu wa pili mfululizo tunashiriki hafla hizi shukrani za dhati ziende kwa @lightersfamily_org pamoja na @vijana_wajibutz kwa kutupa kibali kuwa moja wa wadhamini wa tukio hili @official.ete tunaahidi kuwaunga mkono popotepale itakapobidi, Mungu azidi kuwabariki kwa uaminifu na kujitolea kwenu 

"Basi, tusi choke kutenda mema, kwa sababu kama hatukuchoka tutavuna kwa wakati wake.Kwa hiyo basi, kadiri tunavyopata nafasi, tuwa tendee mema watu wote, na hasa kwa walio wa nyumba ya imani. Wagalatia 6:9-10 

Tarehe: 29 Machi 2025 
Mahali: Hotel ya Jamirex , Dar es Salaam-Mwenge 

#charityevent #togetherwerise #ramadan #kwaresma #communitysupport by @iconshax_
3
2 years ago
Download
@official.ete TUMERUDI hivyo kama unatukio lako lolote lihusulo Mazingira karibu utushirikishe nasi tutashiriki ikiwa lengo letu kuu ni kusapoti Mazingira kidijitali 
#etemazingirakidijidali by @iconshax_
0
2 years ago
Download
*Zanzibar Unforgettable Experience Tour* 
*MEI 2025*

Habari wanafamilia ya #localtourtz natumai sote tu wazima wa afya njema, tunapenda kuwapa taarifa kuwa mwezi wa Tano tunatarajia kuwa na Tour kubwa ya kuelekea Zanzibar ambapo tunatarajia kuwa na siku mbili yaani siku ya kufika usiku mmoja na kuondoka siku inayofuata.

Kwa kifupi kwa sasa Zanzibar pamekuwa bora zaidi tukifika mtaelewa.

Kutakuwa na shughuli mbalimbali ambazo tutakuja zitaja hapa ili kila mmoja apate zifahamu vizuri

Gharama ya safari ya kila mmoja itakuwa TZS. 200,000

*Unaweza anza kuweka kidogo kidogo mwisho wa kuweka ni Tarehe 5.5.2025 saa sita usiku, unaweza anza weka kupitia lipa namba 36853474 Fredy Njeje Photography* 

Tumetoa muda mrefu tunatamani kila mmoja wetu awepo tunaamini tutakuwepo.

Unaruhusiwa kumualika mwenzako pia maana itakuwa ni Safari ya Kihistoria 

Hii itajumuisha mambo yafuatayo
1. Tiketi ya Boti kwenda na kurudi (tuzingatie muda usije achwa)
2. Usafiri wa Zanzibar 
3. Kiingilio katika moja ya sehemu tutakayo kwenda
4. Chakula 
5. Viburudisho (sote tunaelewa tukisema hili)
6. Kulala (usiku mmoja)
7. Tour Guide 
8. Ada zote za safari (huwa zinatokea)
9. Dharula kama itatokea 
10. Makachu kuisemea familia ya #LocaltourTz
11. Picha zote na clip bure

Gharama hizi hazitojumuisha
1. Matumizi Binafsi wakati wa usiku 
2. Baadhi ya maeneo extra kama mtu anataka kufanya anaruhusiwa kulipia tutamngoja
3. Mtu binafsi kutaka kupigiwa makachu

Mavazi
*Unaruhusiwa kuvaa kiwalo chochote ukipendacho iwe abaya, kimini, vyovyote vile hauto ulizwa*
Muhimu kubeba za kuogelea Maana kuna hidden cave mtaenda 

Nani wa kuja naye
*Unaruhusiwa kuja na mwenzako utamlipia tu hicho kiwango cha fedha*

Angalizo:
1. Forodhani kuna kupiga Makachu kama haujawahi ogelea tunashauri usiende kuruka
2. Tuzingatie ratiba muda wote taken in Ukonga by @iconshax_
0
2 years ago
Download
AMBIA RAFIKI HUNA NOMA NAE WEWE UNA MBARIKI TUUU KWA HESHIMA.

HII SI NYIMBO YA KAWAIDA MNATAKIWA KUJUA HILI LINYIMBO LIME BEBA DUA NZITO SANAAA KWA WATAFUTAJI WOTE , NA TUNA KAAAMBALI KWA WANAOTAKA KUZIBA UPEPO. 

ASANTENI KWA KUIPOKEA VIZURI NA NAOMBA MSUBSCRIBE TUU TUKIPANGA KUACHIA VIDEO YAKE TUZIDI KU SAMBAZA DUA NA KUBARIKI WENETU WOTE MTAAANI.

ALAFU NAAMBIWA MTAANI KUMEANZA KUCHANGAMKA UKO FIKISHENI UJUMBE NA MUWAMBIE NGOMA NI MOJA TUUUU  KWA SASA TUKI VUKA MWAKA “AMEN” @jaycombat_ & @tenballzofficial 
.
#tenballz #jaycombat #amen #tenballzjaycombatamen taken in Nairobi, Kenya by @iconshax_
16
2 years ago
Download
taken in Dar es Salaam, Tanzania by @iconshax_
2
2 years ago
Download
Katika kufunga mwaka #localtourtz tuliona muitiko chanya wa vijana katika kushiriki kwa shughuli za utalii ambapo siku ya jumamosi, Disemba 7 vijana waliungana na kufanya utalii wa ndani katika hifadhi ya msitu wa asilia wa vikindu ambao upo chini ya wakala wa huduma za misituTanzania (tfs),wilayani mkuranga mkoa wa pwani 

Vijana hao walifanikiwa kutembelea maeneo tofauti ikiwemo eneo la msitu wa nyuki, Daraja la mto mkangazi, bwawa la miwaleni pamoja na eneo la mizimu ya mavugo 

Mwisho wa safari hii ni mwendelezo wa safari mbalimbali zenye lengo la kuhamasisha utalii wa ndani, hivyo kama haukuwahi kutembelea eneo hilo fanya uende hautojutia 
#tanzania_unforgettable
#localtourtz taken in Vikindu- Mkuranga by @iconshax_
0
2 years ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up