Instagram story viewer> @imani.luvanga> Post
15 days ago
Co Creator: dig.it.with.imani
12
Posted On: October 19th 2026, 11:07 am
Unapotoa maoni yako mtandaoni, kutafuta taarifa sahihi au kuhoji kuhusu huduma za umma, unagusa haki zako za msingi kama binadamu.

Haki za binadamu na demokrasia si mambo ya uchaguzi na wanasiasa pekee. Zinahusu maisha yetu ya kila siku, sauti zetu na uwezo wetu wa kushiriki katika maamuzi yanayoathiri jamii yetu.

Lakini kumbuka, kutumia haki zako pia kunamaanisha kuheshimu haki za wengine.

Je, ni haki gani ya binadamu unayoamini kila mtu anapaswa kuielewa, na kwa nini?

#MakeItMakeSense
Comments (12)
ritha_care_designs 14 days ago

ritha_care_designs

❤️❤️🔥

mic_lawyer 14 days ago

mic_lawyer

🔥🔥🔥the voice of Imani.

bruki_tyga10 15 days ago

bruki_tyga10

🔥🔥🔥

_street_255 15 days ago
kel.len1644 15 days ago

kel.len1644

Wow.....umezungumza vzur🔥🔥, tone, mpangilio na vile unaflow looks amazing

rombotimbersupplier 15 days ago

rombotimbersupplier

🪵🔥 ROMBO TIMBER SUPPLIER — MBAO BORA, UJENZI IMARA! 🏡🔨 Unapanga kujenga nyumba yako ya ndoto? 🏠 Au unatafuta mbao kwa ajili ya ujenzi wa aina mbalimbali? Tumekuletea suluhisho sahihi! 💯 Karibu ROMBO TIMBER SUPPLIER, sehemu sahihi ya kupata mbao kwa ajili ya ujenzi wako. Tunakukaribisha kwa huduma nzuri na bidhaa zinazokusaidia kujenga kwa kujiamini. 🤝✨ ✅ 🪵 Mbao kwa ajili ya ujenzi ✅ 🏗️ Kwa mahitaji yako ya ujenzi ✅ 🤝 Huduma kwa wateja wetu kwa umakini 📍 LOCATION: Rombo Kibaoni 📞 PIGA SIMU SASA: 0756946965 (tel:0756946965) 🔥 Usianze ujenzi bila kutafuta mbao zako sehemu sahihi! 💪 ROMBO TIMBER SUPPLIER — UBORA WA MBAO, MSINGI WA UJENZI IMARA! 🏡🪵 📲 Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi! #RomboTimberSupplier #MbaoBora #BiasharaYaMbao #VifaaVyaUjenzi #UjenziImara #RomboKibaoni #Tanzania

rombotimbersupplier 15 days ago

rombotimbersupplier

Karibu Rombo nauza mbao

More posts

back to up