Posted On: April 17th 2025, 04:12 pm
Kwenye haya Maisha jambo jema ni kuishi vyema na watu Wanao kujali, wanao kukubali na kutambua uwepo wako, leo nimespend time na mdogo wangu wa nguvu kabisa
@mandiblo_tz ni moja ya wadogo zangu ana rohoo imeoonyooka na ni mpambanaji sana, tulikutana miaka mingi nyuma kwenye hustle za muziki, now tumekutana kwenye hustle za biashara, Yuko china anafanya kazi apexcargotz kama utakuwa unahitaji mtu wa kumuamini na kufanya nae kazi ukiwa china unaweza kumcheki, Lets keep hustling na tuendelee kupush zaidi
Video by director
@swity_eyesCc
@aznas_printing