Instagram story viewer> @endfemicidetz_> Post
17 days ago
Co Creator: herinitiative woyomo_tz dadasrisetz
Photo by End Femicide In Tanzania on October 16, 2026. May be a Twitter screenshot of poster, magazine and text.
Photo by End Femicide In Tanzania on October 16, 2026. May be a graphic of magazine, newspaper, poster and text.
1
Posted On: October 17th 2026, 06:14 am
Komesha Mauaji Ya Wanawake Tanzania,

- Wauaji wako wapi? Tunadai uwajibishwaji na taarifa juu ya wauaji.
- Tunastahili kuishi, kukatishwa maisha ni kunyimwa haki yetu ya kuishi
- Mwanamke ni binadamu sio chombo cha kumalizia hasira
- Ukimchoka achana nae sio kumchoka au kumuua
- Ndoa/Mahusiano sio kiota cha mauwaji kwa wanawake
- Kumtesa na kumuua mwanamke hakukuongezei nguvu wala heshima

#EndFemicideTz #KomeshaMauajiYaWanawakeTz
Comments (1)
mabadiliko_chanya_tv 17 days ago

mabadiliko_chanya_tv

Kaataa mauaji kwa wanawake 🫡

More posts

back to up