Posted On: June 25th 2026, 02:46 pm
Kutoka Maktaba 📹
Mapema mwaka huu, Danida SDG Fellows walishiriki Tamasha la People's Dialogue mjini Nairobi, Kenya.
Tamasha hili limeanzishwa kwa mfano wa 'People's Meeting' inayofanyika kila mwaka nchini Denmark.
Hukutanisha wananchi, viongozi, asasi za kiraia na sekta binafsi kujadili masuala muhimu katika jamii.
Tazama walivyolizungumzia tukio hili.
_______________
From Our Archives 📹
Earlier this year, the Danida SDG Fellows travelled to Nairobi, Kenya for the People's Dialogue Festival.
Inspired by Denmark's annual People's Meeting on Bornholm, the festival brings together citizens, leaders, civil society and the private sector to discuss ideas and solutions for the future.
Here's what they had to say about the experience.