Instagram story viewer> @amrisaly> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Kama unataka kuwekeza UTT hivi karibuni inabidi ujiulize haya maswali mawili ya brother @mikedastan na @amrisaly  kwanza..

Kisha utuambie kwenye comment section hapo chini.

Episode ya nne ya BILA FILTA imetoka rasmi! 🔥,

Kwenye episode hii, tumejadili kwa undani mbinu za kufanikiwa kiuchumi, fursa zilizopo sasa, namna ya kutengeneza pesa, kuzi-invest na kuzimultiply kupitia biashara, stocks, bonds, real estate na njia nyingine mbalimbali za kujenga utajiri,

Haya ni mazungumzo ya wazi yenye mitazamo tofauti, uzoefu na insights zinazoweza kukupa perspective mpya kuhusu pesa na kujenga utajiri,

🎙️ @amrisaly 
  @mikedastan 
  @mwigwano 
  @miss_wanda_gordon 

Angalia full episode kupitia link kwenye bio ya @bilafilta,

BILA FILTA - Different perspectives, one conversation.
17
Muda wa challenge ndio huu apa.⏰

Kama wewe umeweza kuulata u-billionaire kwa kuwekeza UTT kwa mshahara wako wa laki 6 hadi millioni 1 basi hii inakuhusu.

UTT sasa imepata mtetezi ambaye ni CFE @mwigwano .😂

Episode ya nne ya BILA FILTA imetoka rasmi! 🔥,

Kwenye episode hii, tumejadili kwa undani mbinu za kufanikiwa kiuchumi, fursa zilizopo sasa, namna ya kutengeneza pesa, kuzi-invest na kuzimultiply kupitia biashara, stocks, bonds, real estate na njia nyingine mbalimbali za kujenga utajiri,

Haya ni mazungumzo ya wazi yenye mitazamo tofauti, uzoefu na insights zinazoweza kukupa perspective mpya kuhusu pesa na kujenga utajiri,

🎙️ @amrisaly 
  @mikedastan 
  @mwigwano 
  @miss_wanda_gordon 

Angalia full episode kupitia link kwenye bio ya @bilafilta,

BILA FILTA - Different perspectives, one conversation.
62
Kaka yetu @mikedastan anatoa hoja yenye swali zito sana ya kijana anayetaka kuwezeka  UTT kwa mtaji wa 1.5Million anafanyaje ili kufanikiwa?

Ila sasa yeye alipata iyo pesa 1.5 Million ya biashara yake kwa kuuza simu za wizi shuleni😂😂.

Episode ya nne ya BILA FILTA imetoka rasmi! 🔥,

Kwenye episode hii, tumejadili kwa undani mbinu za kufanikiwa kiuchumi, fursa zilizopo sasa, namna ya kutengeneza pesa, kuzi-invest na kuzimultiply kupitia biashara, stocks, bonds, real estate na njia nyingine mbalimbali za kujenga utajiri,

Haya ni mazungumzo ya wazi yenye mitazamo tofauti, uzoefu na insights zinazoweza kukupa perspective mpya kuhusu pesa na kujenga utajiri,

🎙️ @amrisaly 
  @mikedastan 
  @mwigwano 
  @miss_wanda_gordon 

Angalia full episode kupitia link kwenye bio ya @bilafilta,

BILA FILTA - Different perspectives, one conversation.
34
Kwa mujibu wa CFE @mwigwano  baadhi ya masoko ya hisa yametengeneza matajiri wengi kuliko waliotengenezwa na sekta ya kilimo.

Unamfahamu mtu yeyote aliyetajirika kupitia UTT au masoko ya hisa? mtaje kwenye comment section.

Episode ya nne ya BILA FILTA imetoka rasmi! 🔥,

Kwenye episode hii, tumejadili kwa undani mbinu za kufanikiwa kiuchumi, fursa zilizopo sasa, namna ya kutengeneza pesa, kuzi-invest na kuzimultiply kupitia biashara, stocks, bonds, real estate na njia nyingine mbalimbali za kujenga utajiri,

Haya ni mazungumzo ya wazi yenye mitazamo tofauti, uzoefu na insights zinazoweza kukupa perspective mpya kuhusu pesa na kujenga utajiri,

🎙️ @amrisaly 
  @mikedastan 
  @mwigwano 
  @miss_wanda_gordon 

Angalia full episode kupitia link kwenye bio ya @bilafilta,

BILA FILTA - Different perspectives, one conversation.
11
Mada ni ya moto sana🔥.

Kaka @amrisaly anatoa hoja kuwa hakuna mtu yeyote aliyefanikiwa kwa kuwekeza UTT kwa laki 2 hadi 3 na akawa Billionaire ila madam @miss_wanda_gordon  anasema wapo.

Haya mlioupata huo u-billionaire mjitokeze  tuwaone kwenye comment section  hapo chini.😂

Episode ya nne ya BILA FILTA imetoka rasmi! 🔥,

Kwenye episode hii, tumejadili kwa undani mbinu za kufanikiwa kiuchumi, fursa zilizopo sasa, namna ya kutengeneza pesa, kuzi-invest na kuzimultiply kupitia biashara, stocks, bonds, real estate na njia nyingine mbalimbali za kujenga utajiri,

Haya ni mazungumzo ya wazi yenye mitazamo tofauti, uzoefu na insights zinazoweza kukupa perspective mpya kuhusu pesa na kujenga utajiri,

🎙️ @amrisaly 
  @mikedastan 
  @mwigwano 
  @miss_wanda_gordon 

Angalia full episode kupitia link kwenye bio ya @bilafilta,

BILA FILTA - Different perspectives, one conversation.
253
Ilibidi tupige hesabu kabisa ili kuondoa utata,hawa CFE’s (Certified Financial Educator) wapo Hoi.😂

Chukua mshahara wako unaolipwa na kisha twende pamoja kwenye haya mahesabu.

Episode ya nne ya BILA FILTA imetoka rasmi! 🔥,

Kwenye episode hii, tumejadili kwa undani mbinu za kufanikiwa kiuchumi, fursa zilizopo sasa, namna ya kutengeneza pesa, kuzi-invest na kuzimultiply kupitia biashara, stocks, bonds, real estate na njia nyingine mbalimbali za kujenga utajiri,

Haya ni mazungumzo ya wazi yenye mitazamo tofauti, uzoefu na insights zinazoweza kukupa perspective mpya kuhusu pesa na kujenga utajiri,

🎙️ @amrisaly 
  @mikedastan 
  @mwigwano 
  @miss_wanda_gordon 

Angalia full episode kupitia link kwenye bio ya @bilafilta,

BILA FILTA - Different perspectives, one conversation.
87
Je unafahamu biashara inayoweza kukuingizia faida ya zaidi ya millioni 10 kwa mwezi kuliko hata UTT yenyewe?

Ni hii apa kutoka kwa mwekezaji @amrisaly , unaionaje? 

Tuambie kwenye comment section.

195
back to up