Instagram story viewer> @cdf_tanzania> Post
2 months ago
Co Creator: tecmntanzania
Je, unafahamu kwamba ikiwa wasichana wote wangemaliza elimu ya sekondari, ndoa za utotoni zinaweza kupungua kwa asilimia 66%? (UNICEF, 2022)

CDF Kama Sekretarieti ya Mtandao wa Kutokomeza Ndoa za Utotoni Tanzania @tecmntanzania, tunaendelea kufanya uchechemuzi katika ngazi ya jamii na kitaifa ili kuhakikisha kila mtoto wa kike anapata fursa ya elimu na analindwa dhidi ya ndoa za utotoni.

Ni wakati wa kuchukua hatua. Tushirikiane kuhakikisha kila mtoto wa kike anabaki shule, analindwa dhidi ya ndoa za utotoni, na anapewa nafasi ya kutimiza ndoto zake.
#EndChildMarriage #ElimuNiMwanga
#CDFTanzania #20YearsAnniversary
#CDFat20 #20YearsOfImpact
-
@malalafund @forwarduk_
@finlandintanzania @unfpatanzania @malala @norwayintz @segalfoundation @womenfund_tz @girlsnotbrides_ @canada_embassy_tz @equalitynoworg @franceintanzania @euintanzania @netherlandsintanzania @amplifychange @comicrelief @irishruleoflawinternational @uniceftz @plan_tanzania @familyforeverychild
2
Posted On: August 27th 2026, 06:11 am
Tagged Users:

Comments (2)
cdf_tanzania 2 months ago

cdf_tanzania

@tabufotz 😊

tabufotz 2 months ago

tabufotz

👏👏👏👏

More posts

back to up