Instagram story viewer> @cdf_tanzania> Post
a month ago
Co Creator: shadya_kitenge
18
Posted On: October 7th 2026, 10:48 am
Tagged Users:
Kuelekea maadhimisho ya miaka 20 ya CDF, tumefanya Bonanza lililowakutanisha walimu na wanafunzi kutoka klabu za CDF za Shule ya Msingi Kerezange, Jitihada, Kitunda, na Shule ya Sekondari Kitunda, Dar es salaam.

Kupitia michezo na sanaa, tumepata nafasi ya kushirikiana na kufurahi pamoja na wanafunzi, tukijifunza zaidi kuhusu haki za mtoto.

Shuhudia shangwe na vipaji vyao kisha tuambie, ni kipi kimekuvutia zaidi kati ya ngonjera na mbio za gunia.
Tazama video.

#ChildProtection #CDF
#PositiveImpact #CDFTanzania #CDFat20 #Miaka20YaMabadiliko #20YearsAnniversary
-
@malalafund @forwarduk_
@finlandintanzania @unfpatanzania @malala @norwayintz @segalfoundation @womenfund_tz @girlsnotbrides_ @canada_embassy_tz @equalitynoworg @franceintanzania @euintanzania @netherlandsintanzania @amplifychange @comicrelief @irishruleoflawinternational @uniceftz @plan_tanzania @familyforeverychild
Comments (18)
douryn_ollomy 25 days ago

douryn_ollomy

❤️❤️❤️

barakoachanjo a month ago

barakoachanjo

Hongereni CDF kwa kazi iliyotukuka. BRAVO!

eshehussein a month ago

eshehussein

👏👏👏👏❤️

girlsulila a month ago

girlsulila

Awww 🔥🔥 this is beautiful 😻 well done girl💃💃

radhia_deus a month ago

radhia_deus

@shadya_kitenge ❤️❤️go sis🔥🔥🔥

i_am_amenze a month ago

i_am_amenze

❤️❤️❤️❤️❤️

cdf_tanzania a month ago

cdf_tanzania

@schola_mchome Here we come. 🔥

cdf_tanzania a month ago

cdf_tanzania

@anisa_biagio 🔥🔥

anisa_biagio a month ago

anisa_biagio

🔥🔥🔥

naifatyabdallah_ a month ago
shadya_kitenge a month ago

shadya_kitenge

Bonanza la CDF Kitunda lilifana sana. Nilifurahia zaidi kuona watoto wakijifunza kuhusu haki zao, namna ya kuzilinda na jinsi kila mmoja wetu anavyoweza kuchangia ustawi wao. Asanteni @cdf_tanzania kwa kunishirikisha katika siku hii tunapoendelea kuadhimisha miaka 20 ya kazi yenu katika kulinda na kukuza haki za watoto. 🥳

schola_mchome a month ago

schola_mchome

20 years of changes🙌👏

More posts

back to up